MV LIEMBA YENYE UMRI WA MIAKA 113 YAREJEA ZIWA TANGANYIKA

MV LIEMBA YENYE UMRI WA MIAKA 113 YAREJEA ZIWA TANGANYIKA

Muonekano wa Meli ya kihistoria MV Liemba, yenye umri wa miaka 113.

..........................................

Na Mwandishi Wetu

Meli ya kihistoria MV Liemba, yenye umri wa miaka 113, imerejea katika Ziwa Tanganyika baada ya kukamilishiwa ukarabati mkubwa uliogharimu Sh bilioni 34. Ukarabati huo umehusisha injini, jenereta, mifumo ya kisasa ya urambazaji na usalama pamoja na maboresho ya huduma za abiria. Meli hiyo sasa imeanza safari zake tena, ikitarajiwa kuchochea usafiri, biashara na shughuli za kiuchumi kati ya Tanzania na nchi jirani zinazozunguka Ziwa Tanganyika.

Post a Comment

0 Comments