WASHIRIKI wa Mafunzo ya Viongozi na Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati Mjini Mkoa wa Manyara wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mafunzo ya Viongozi na Makada wa chama hicho nchi nzima.
Mafunzo hayo leo Oktoba 15, 2026 yameendelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Babati mjini.
Mafunzo hayo yamelenga kuwanoa viongozi na makada wa CCM kuhusu masula mbalimbali yanayohusu chama na Itikadi yake.
Viongozi wakiwa meza kuu wakati wa mafunzo hayo.
Washiriki wakisalimiana kwenye mafunzo hayo.
Wana CCM Wilaya yaa Babati Mjini wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Mafunzo yakiendelea.
Makada wa CCM wakiwaa kwenye mafunzo hayo.
.............................
Habari hii imeandaliwa na Dotto Mwaibale Simu namba 0754362990.











0 Comments