Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili katika Uwanja wa CCM Nelson Mandela, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2026.
















0 Comments