RAIS DKT. SAMIA MGENI RASMI USIKU WA MAONESHO YA SANAA ZA PICHA

RAIS DKT. SAMIA MGENI RASMI USIKU WA MAONESHO YA SANAA ZA PICHA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi wa usiku wa maonesho ya sanaa za picha tarehe 11 Agosti 2026 katika ukumbi wa Kwanza Hotel. Vijana wabunifu, tunaimani na Mama ametufungulia fursa

Post a Comment

0 Comments