KIHONGOSI KUZUNGUMZA NA WASOMI DARASA LA MAFUNZO VIONGOZI WA SENETI VYUO VIKUU

KIHONGOSI KUZUNGUMZA NA WASOMI DARASA LA MAFUNZO VIONGOZI WA SENETI VYUO VIKUU

 Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Ndg. Kenani Laban Kihongosi atazungumza na Wasomi katika Darasa la Mafunzo ya Viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu leo 10 Agosti, 2026 yanayoendelea katika Chuo cha Mafunzo cha UVCCM - Ihemi, Iringa.

Post a Comment

0 Comments