DKT. MWIGULU AFANYA ZIARA ZA KIKAZI IRINGA MEI 24

DKT. MWIGULU AFANYA ZIARA ZA KIKAZI IRINGA MEI 24

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza jambo na Bi. America Nyamiya, mkazi wa Ndiwili mkoani Iringa wakati akiwa katika ziara zake za kikazi leo tarehe 24 Mei, 2026 ambaye anachangamoto za kiafya ambapo Dkt. Mwigulu ameahidi kumsaidia. 
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Iringa Mjini baada ya kushiriki Ibada katika kanisa hilo leo tarehe 24 Mei, 2026.

Post a Comment

0 Comments