𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗔𝗞𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗙𝗘𝗗𝗛𝗔 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗞𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗕𝗜𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜

𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗔𝗞𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗙𝗘𝗗𝗛𝗔 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗞𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗕𝗜𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Martha Ngalowera, kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akisoma hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.
Mratibu wa Mikutano ya COP Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Evansia Shirima akitoa maneno ya awali wakati wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.
Meneja Miradi Tanzania, Shirika la ActionAid Bi. Happay Sanga akizungumza wakati wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.
Washriki mbalimbali wakiwa katika Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.

Post a Comment

0 Comments