Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano) Mhe. Rahma Kisuo wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026. Aliyekaa mbele ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe.










0 Comments