KAWAIDA KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU UVCCM DODOMA LEO

KAWAIDA KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU UVCCM DODOMA LEO

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,  Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC)
................................

Na Dotto Mwaibale, Dodoma

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo Novemba 26, 2025 anarajia kuongoza kikao cha baraza kuu la umoja huo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kikao hicho kitafanyika Ukumbi wa NEC uliopo Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma.

Kawaida anawakaribisha Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kushiriki kikao hicho muhumu kwa umoja huo ambapo ajenda mbalimbali zitazungumzwa.

Aidha, Kawaida anawasisitizia wajumbe hao kuzingatia muda kwani kitaanza mapema asubuhi.

Post a Comment

0 Comments