FIRST TIME VOTERS TABORA UVCCM TUMEWAFIKIA
Home
Contact - +255754 362990 / Email : ueneziccm@gmail.com
Home
JICHO LETU
MATUKIO
SIASA
JUMUIYA YA WAZAZI CCM
ZANZIBAR
UWT
UVCCM
BUNGENI
Home
Uvccm
FIRST TIME VOTERS TABORA UVCCM TUMEWAFIKIA
FIRST TIME VOTERS TABORA UVCCM TUMEWAFIKIA
BLOG
September 21, 2025
Katibu wa UVCCM Seneti mkoa wa Tabora, Cde. Brighton Malimi amefanya ziara ya kuhamasisha Wanavyuo kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kwenda kumchagua Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan na wagombea wote wa CCM.
Akizungumza na Wanachuo wa VETA - Uyui amewasihi kwenda kuhamasisha wao kwa wao kwenda kumchagua Dkt. Samia kwani tayari anaendelea na ujenzi wa VETA kila mkoa na wilaya ili kuongeza ujuzi kwa vijana ili wajiajiri na kuajiriwa.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Featured post
Jicho letu
𝐓𝐔𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐆𝐄𝐑𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐀𝐊𝐈𝐒𝐈 𝐌𝐀𝐆𝐄𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐅𝐔𝐌𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐊𝐈 𝐉𝐈𝐍𝐀𝐈 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀
BLOG
May 26, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Ha…
𝐕𝐈𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀
𝐒𝐮𝐛𝐬𝐜𝐫𝐢𝐛𝐞 𝐔𝐬
Labels
Biashara
Bungeni
Gazeti
Habari za mikoa
Jicho letu
Jumuiya ya wazazi ccm
Magazeti
Matukio
Siasa
Uvccm
Uwt
Zanzibar
𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄𝐍𝐈 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀
20/Bungeni/post-list
0 Comments