Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono wakati akiwasili kuzindua Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Taifa, Dkt. Asha-Rose Migiro wakati wa uzinduzi huo. 
Shamrashamra za uzinduzi wa kampeni hizo.
Picha mbalimbali za viongozi na wagombea mbalimbali zikioneshwa wakati wa uzinduzi huo.
Hivi ndivyo viwanja vya Tanganyika Packers lvilivyofurika watu wakati wa uzinduzi huo.
Taswira ya uzinduzi huo.
Taswira ya uzinduzi huo.
Uzinduzi ukiendelea.
Shamrashamra ya uzinduzi zikiendelea.
Shamrashamra zikiendelea.