MAPOKEZI YA VIONGOZI WA UWT MKOANI PWANI

MAPOKEZI YA VIONGOZI WA UWT MKOANI PWANI

Mapokezi ya Kishindo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC), Wajumbe wa NEC na wajumbe wa Baraza kuu la UWT Wilayani Rufiji Mkoani Pwani, katika Ziara yake ya siku 10 Mkoani Pwani kuanzia Mei 6, 2025 hadi Mei 15, 2025, katika kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo na kuhamasisha uhai wa Jumuiya ya UWT/CCM

Akilakiwa na viongozi wa UWT Mkoa wa Pwani, na Serikali (MCC) Chatanda alipokea salamu kutoka kwa Vijana wa Itifaki na Kisha kuvalishwa vazi la asili na wanarufiji na kuburudika nao katika ngoma za asili.

Post a Comment

0 Comments