KIKOSI CHA UWT TAIFA KUANZA ZIARA YA SIKU KUMI MKOA WA PWANI

KIKOSI CHA UWT TAIFA KUANZA ZIARA YA SIKU KUMI MKOA WA PWANI

Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC), Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Ndg. Tunu Juma Kondo, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi MNEC. Nadra Ghulam, Wajumbe wa Kamati Utekelezaji ya UWT Taifa pamoja na Baraza Kuu la UWT wakiwa tayari kuanza Safari  kuelekea Mkoa wa Pwani kwaajili ya ziara ya kikazi siku 10 kuanzia leo  Mei 6, 2025 hadi   Mei 16. 2025. Ziara hii ya kihistoria itanzia  Wilaya ya Rufiji.

Post a Comment

0 Comments