CHATANDA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI WILAYANI RUFIJI

CHATANDA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI WILAYANI RUFIJI

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amehitimisha ziara yake Wilayani Rufiji kwa Kufanya Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Ujamaa amewasihi Wananchi wa Rufiji kutowaozesha watoto wakike mapema badala yake wajikite katika  kuwahimiza kuzingatia masomo yao ili waje kutimiza ndoto zao za kielimu.

Chatanda aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) Wajumbe wa NEC, na Wajumbe wa Baraza Kuu la UWT, amesema Serikali kupitia Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa imefanya mambo mengi ya kimaendeleo katika Sekta ya Afya, Elimu, Miundombinu pamoja na Uwezeshaji Wananchi kiuchumi kwa kuwapatia mikopo yenye Riba nafuu ili kuwainua kiuchumi.

Pamoja na mambo mengine Chatanda, akawakumbusha wananchi wa Rufiji kujitokeza kwenye uboreshaji wa taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga

Post a Comment

0 Comments