Wajumbe wa Jumuia ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Maendeleo Mbeya Mjini wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shle ya Msingi Maendeleo baada ya kkabidhi msaada kwa wanafunzi wenye uhitaji Aprili 3, 2025.
........................................
Na Zuhura Jafari, Mbeya.
WAJUMBE wa Jumuia ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata
ya Maendeleo Mbeya Mjini imetembelea Kito cha Afya cha Kiwanja Mpaka na ktoa
msaada wa vitu mbalimbali kwa wanawake waliokuwa wodi ya wazazi na watoto.
Tukio hilo limefanyika Aprili 3, 2025 kwa kutoa msaada ho wa
vitu mbalimbali kama vile Sabuni, maji ya kunywa na ‘Pampers’ kwa ajili ya
watoto wachanga.
Katika tkio hilo
viongozi mbalimbali wa Jmhiya hiyo walishiriki wakiongozwa na Mwenyekiti wao Kata
Pantaleo Shiyo ambapo pia walipata fursa
ya kutembelea Shule ya Msingi Maendeleo na kutoa msaada kwa watoto wenye mahitaji
maalum kwa kuwapa madaftari, kalamu za kuandikia na madawati matatu kwa ajili
ya watoto hao.
Msaada ukitolewa Kituo cha Afya cha Kiwanja Mpaka.
Wajumbe hao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhi msaada huo.











0 Comments