...........................
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndg. Mary Pius
Chatanda (MCC) leo Agosti 03,2024 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya
utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya
UWT Taifa Dodoma.
Kikao kikiendelea










0 Comments