Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Rais Mhe. Dkt. Samia
ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi
mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi














0 Comments