KONGAMANO LA WANAWAKE WAUZA MBOGA NA MATUNDA DODOMA LAFANA

KONGAMANO LA WANAWAKE WAUZA MBOGA NA MATUNDA DODOMA LAFANA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  Taifa,. Mary Pius Chatanda (MCC), ambaye alikuwa mgeni rasmi akihutubia katika Kongamano la Wanawake wauza mboga na matunda wa Mkoa wa Dodoma lililofanyika Mei 4, 2024.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  Taifa,. Mary Pius Chatanda (MCC) akishukuru kwa heshima aliyopewa ya kuwa mgeni rasmi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  Taifa,. Mary Pius Chatanda (MCC) akiteta jambo na mmoja wa viongozi wa Umoja wa Wanawake hao wauza mboga na matunda Mkoa wa Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  Taifa,. Mary Pius Chatanda (MCC) (wa pili kushoto) akizungumza na viongozi wa umoja huo.
Mazungumzo na viongozi wa umoja huo yakiendelea kabla ya kuanza kwa kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  Taifa,. Mary Pius Chatanda (MCC) akikabidhiwa kapu lenye mbogamboga na matunda kwenye kongamano hilo.
Hivi ndivyo Wanawake wa Mkoa wa Dodoma walivyo jitokeza kwa wingi kwenye kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
Taswira ya kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
 

Post a Comment

0 Comments