Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Bariadi katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Simiyu tarehe10 Oktoba, 2025.
Taswira ya mkutano huo.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano huo.
Shamrashamra katika mkutano huo.
0 Comments