Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Mpanda mkoani wa Katavi. 


Burudani ikitolewa
Matukio mbalimbali yakifanyika


Shamra shamra kwenye mkutan hu
Taswira ya mkutano huo.

Taswira ya mkutan huo

Ilani ya uchaguzi ikikabidhiwa